Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ana pointi sana. Angekuwa anazitoa kwa lugha inayoeleweka yaani ingekuwa poa sana. Sijui mihemko inamzidia na anaamua kutumia lugha ile? Mpaka wanaamua kumpima mkojo ili kujua pengine huwa anapasha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siasa ni shida ndio natoka huko Na you tube kupata ubuyu kidogo dah jamaa alikataa kupimwa mkojo
Hahahahaha TL bhana
Naona show yake ilikuwa kiboko. Dunia hii we acha tu!Hahahaha
I love my country Mama Tanzania so much
Leo nagawa kwa kila mtu na kila post - codes za SPOILER included [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe niwekee Mimi tu!
hahahaha
Hahaha ni shida sana huyu mtu namsikiliza kwa makini sana kukosea ni Mara chacheAna pointi sana. Angekuwa anazitoa kwa lugha inayoeleweka yaani ingekuwa poa sana. Sijui mihemko inamzidia na anaamua kutumia lugha ile? Mpaka wanaamua kumpima mkojo ili kujua pengine huwa anapasha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa nambaLeo nagawa kwa kila mtu na kila post - codes za SPOILER included [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni maisha yake. Inahusianaje na siasa zake? Ni lazima kuwa na mke na watoto? Don't hit below the belt Mzee wa Masaki. Siasa za maji taka hizi.Halafu jamaa hana mke wala Mtoto sijui ni bahati mbaya au sielewi
Lakini jamaa anafungamana liberal part wanaosapoti mambo Fulani