Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TAHADHARI. al-shabab wamebuni mbinu mpya ya mashambulizi kupitia vocha ambapo ukiingiza tu namba za vocha simu inalipuka na kukuua. ili kukulinda, unaponunua vocha ikwangue na kabla hujaingiza namba ktk simu yako tuma namba hizo kwenye namba yangu ili zihakikiwe. niko tayari kufa kwa ajili Yako
 
Huu uandishi wa matangazo ya uswahilini haya inabidi uangaliwe upya, Bibi ameenda mjini kusaga mahindi yake akafika mashine ya kusaga pale nje kumeandikwa :TUNASAGANA KUKOBOANA FAKA.
bibi akageuza na mahindi yake akaona bora akapike kande tu..kumbe jamaa alieandika pale aliona nafasi ndogo so akaona abananishe maandishi badala ya kuandika : TUNASAGA NA KUKOBOA NAFAKA.
 
Back
Top Bottom