Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B742
[emoji16][emoji16][emoji16]you are crazyTAHADHARI. al-shabab wamebuni mbinu mpya ya mashambulizi kupitia vocha ambapo ukiingiza tu namba za vocha simu inalipuka na kukuua. ili kukulinda, unaponunua vocha ikwangue na kabla hujaingiza namba ktk simu yako tuma namba hizo kwenye namba yangu ili zihakikiwe. niko tayari kufa kwa ajili Yako