cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Kweli kabisaKwa nini isiwe maji?
Tuliache lipite hii. Nitarudi nikiwa na amani RohoniNo please usikose amani. Mie huwa nafunguka tu bila kujali nitamchukiza nani,bora kusema ukweli kuliko kukaa na kinyongo
Hahahahaha ananipa moto sanaIgnore list zamani
Wala sijui kina cho endelea
Niko kwenye
Stress free zone
Raha tupu!
Mmh jamanKuna vitu vigumu sana kwenye huu uzi. Vinakaribia kunishinda, nakosa kabisa amani ya roho.
Sawa ila usiondoke mazimaTuliache lipite hii. Nitarudi nikiwa na amani Rohoni
kiongoz upo ?B768
Kama hutaki kumkwaza mtuNatamani ni ngeweza kuliweka wazi bila kukwaza mtu na likawa na matokeo +ve