Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B707
Hoja yako inakoelekea ukifuatiliwa utakwama. Atakuja mtu hapa atakuuliza wewe unayeamini katika Mungu uliwahi kumuona?Sio ubishi huu ndo ukweli..watakaowaita hivyo na wawaite tu ila Mm nawaona kuwa nguvu yao waliitumia kumkufuru muumba wao....hilo jina goddess pia hawastahili kuitwa hivyo....hao ni viumbe dhaifu tu na kwa sasa hawapo tena....kumbe wengine bado mnao upotofu huu wa kizamani....huo ni upotofu kuamini mambo ambayo hamna uhakika nayo...labda mkuu uliwaona sehemu au ni vipi...kama uliwaona hebu tuelezee japo kiufupi tu na kama hujawaona basi usiendelee kubishana kwa jambo ambalo huna uhakika nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidAsante my love
Uoga wako ndio umasikini wako
Kwa nini isiwe maji?Dawa ya moto ni moto!
Ignore list zamaniHoja yako inakoelekea ukifuatiliwa utakwama. Atakuja mtu hapa atakuuliza wewe unayeamini katika Mungu uliwahi kumuona?
Mijadala hii ya kiimani ni mizito ndiyo maana haina mshindi na mara nyingi huishia katika ugomvi na kutukanana tu. Tafuta threads hapa zinazojadili uwepo wa Mungu uone ninachokiongelea.
Binafsi huwa nakwepa mijadala ya aina hiyo kwa sababu haisaidii cho chote katika kuimarisha imani yangu. Egyptology leo hii ni uwanja mpana na unaojitegemea na watu wanasoma haya mambo kwa kina. Usifanye majumuisho ya kiujumla katika mijadala ya aina hii kwa sababu ukibanwa hutaweza kujitetea mbali na kutoa povu na kusema kuwa ndivyo unavyoamini.
Na kwa nini tusile likes tu hapa na kuyaacha haya mambo? Hamieni jukwaa la dini huko kuna mijadala mizito kuhusu mambo haya...![]()
Imani siyo a playing toolHoja yako inakoelekea ukifuatiliwa utakwama. Atakuja mtu hapa atakuuliza wewe unayeamini katika Mungu uliwahi kumuona?

Namagondo...