Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The beautiful land of Africa
Aisee kule kwetu visiwani ni pazuri sana ukiamka asbh unapata manzari ya lake Victoria unapata viazi na mihogo ya kuchemsha au ugali Wa muhogo kwa samaki walioweka ndimu na chumvi zamu ya kwenda kuchunga imefika acha tu
Raha sana!
Unajenga mansion yako kwenye beach ya Lake Victoria!
Heaven on earth really!
 
Niko peke yangu ninayegawa likes hapa leo? Mbona sioni likes zingine? Anyway, ngoja tu mi niendelee. Nyie kama mnapokea tu bila kutoa hiyo ni Shauri yenu!
ea8284ad1f0eb7f25644b123c3556701.jpg
Nahonga mkuu kama kawaida hila kweli naona wengeni ni ubishi no likes
 
Back
Top Bottom