Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B675
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ubinafsi wa viongozi wa afrika hilo si sababu tusijivunie bara letu kikubwa nafikiri wananchi wa bara letu labda ndio wabinafsiNitajie hizo sababu. Sipendi ubinafsi wa wanasiasa wa Afrika. Mwanasiasa anapoiba na kuwa bilionea wakati watu aliowaibia hawana hata pesa ya kununua aspirin, ni binadamu huyo?
Sawa!Ubinafsi wa viongozi wa afrika hilo si sababu tusijivunie bara letu kikubwa nafikiri wananchi wa bara letu labda ndio wabinafsi
Jamaa ni mzuri lakini naona shida ni sehemu aliyotokeaMianasiasa ndivyo ilivyo. Maneno meengi yakipewa madaraka mambo ni yale yale tu. Ndiyo maana namheshimu mwanasiasa ambaye angalau anajaribu kupambana na mifumo ya hovyo aliyoikuta!
Nipo my dearNiko peke yangu ninayegawa likes hapa leo? Mbona sioni likes zingine? Anyway, ngoja tu mi niendelee. Nyie kama mnapokea tu bila kutoa hiyo ni Shauri yenu!![]()
YapUkerewe?
Mh!Niko peke yangu ninayegawa likes hapa leo? Mbona sioni likes zingine? Anyway, ngoja tu mi niendelee. Nyie kama mnapokea tu bila kutoa hiyo ni Shauri yenu!![]()
HahahahaChama cha wanaume wanaopigwa na wake zao Tanzania wamethibitisha kua mkoa wa Mara ndiyo unaongoza kwa wanaume kula kichapo kutoka kwa wake zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni likes lakini ukitaka elimu vile vile unapewa tuSio ubishi huu ndo ukweli..watakaowaita hivyo na wawaite tu ila Mm nawaona kuwa nguvu yao waliitumia kumkufuru muumba wao....hilo jina goddess pia hawastahili kuitwa hivyo....hao ni viumbe dhaifu tu na kwa sasa hawapo tena....kumbe wengine bado mnao upotofu huu wa kizamani....huo ni upotofu kuamini mambo ambayo hamna uhakika nayo...labda mkuu uliwaona sehemu au ni vipi...kama uliwaona hebu tuelezee japo kiufupi tu na kama hujawaona basi usiendelee kubishana kwa jambo ambalo huna uhakika nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariHahahaha
Hoja yako dhaifu sana yaani wewe mpka uone haya niambie hiyo imani uliyonayo umemwona naniSio ubishi huu ndo ukweli..watakaowaita hivyo na wawaite tu ila Mm nawaona kuwa nguvu yao waliitumia kumkufuru muumba wao....hilo jina goddess pia hawastahili kuitwa hivyo....hao ni viumbe dhaifu tu na kwa sasa hawapo tena....kumbe wengine bado mnao upotofu huu wa kizamani....huo ni upotofu kuamini mambo ambayo hamna uhakika nayo...labda mkuu uliwaona sehemu au ni vipi...kama uliwaona hebu tuelezee japo kiufupi tu na kama hujawaona basi usiendelee kubishana kwa jambo ambalo huna uhakika nalo
Sent using Jamii Forums mobile app