Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B654
Bado tunanyoosha nchi JPM wacha amalize kumiAtumie lugha yenye staha na apunguze mihemko. Anaweza kuwa rais wetu ajaye (2025)
I love TanzaniaI love continent of Africa
Nitajie hizo sababu. Sipendi ubinafsi wa wanasiasa wa Afrika. Mwanasiasa anapoiba na kuwa bilionea wakati watu aliowaibia hawana hata pesa ya kununua aspirin, ni binadamu huyo?Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Waafrika
Thanks though your username it's
The beautiful land of AfricaWhy?
Mianasiasa ndivyo ilivyo. Maneno meengi yakipewa madaraka mambo ni yale yale tu. Ndiyo maana namheshimu mwanasiasa ambaye angalau anajaribu kupambana na mifumo ya hovyo aliyoikuta!Bado tunanyoosha nchi JPM wacha amalize kumi