Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B718
Mkuu usiumize kichwa humu,hapa tunatoa stress sio tunajenga stress,have a good evening SIRWewe ndio unaeiona dhaifu...Mimi imani yangu ni kuwa Mungu ni mmoja hata kama sijamuona...na hana mshirika...hao hata kama walikuwepo bac now hawapo tena coz ni viumbe dhaifu tu kwa Muumba wao na hawapaswi kufananishwa na Mungu eti kisa walikuwa na nguvu...huo upotofu ushamifunga akili na uwezo wa kujitoa kwenye giza...anyway sibishani zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidMkuu usiumize kichwa humu,hapa tunatoa stress sio tunajenga stress,have a good evening SIR
Kuna majukwa yake!Mkuu usiumize kichwa humu,hapa tunatoa stress sio tunajenga stress,have a good evening SIR
Sawa shimba ila kwa kweli ni upotofu...anyway tuyaache tuHoja yako inakoelekea ukifuatiliwa utakwama. Atakuja mtu hapa atakuuliza wewe unayeamini katika Mungu uliwahi kumuona?
Mijadala hii ya kiimani ni mizito ndiyo maana haina mshindi na mara nyingi huishia katika ugomvi na kutukanana tu. Tafuta threads hapa zinazojadili uwepo wa Mungu uone ninachokiongelea.
Binafsi huwa nakwepa mijadala ya aina hiyo kwa sababu haisaidii cho chote katika kuimarisha imani yangu. Egyptology leo hii ni uwanja mpana na unaojitegemea na watu wanasoma haya mambo kwa kina. Usifanye majumuisho ya kiujumla katika mijadala ya aina hii kwa sababu ukibanwa hutaweza kujitetea mbali na kutoa povu na kusema kuwa ndivyo unavyoamini.
Na kwa nini tusile likes tu hapa na kuyaacha haya mambo? Hamieni jukwaa la dini huko kuna mijadala mizito kuhusu mambo haya...![]()
Indeed
Yaser ARAFAT great leader.Ariel Sharon