Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2824.JPG
 
Nafikiri kuna kitu kinamnyima amani uniq humu ila anaogopa kusema kuhofia kukwaza watu ndio akasema atarudi akiwa na amani
Kipindi kile alikwazwa na ile vita ya 50K (sikumbuki vizuri) aliposhtumiwa kuwa kacheza faulo na yule dada mkubwa. Akataka kususa tukamshauri akabaki mpaka akapata na mtoto humu.

Kama kuna ishu ni vizuri kuisema. Humu tuko wengi na mikwaruzano daima itakuwepo. Cha muhimu ni kuambiana ukweli, kusameheana na kusonga mbele. Hii ndiyo kanuni ya jumla ya kuzingatia popote pale!
 
Back
Top Bottom