Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Shimba ya buyenze
Mi naona sio rahisi kum please everybody!Kipindi kile alikwazwa na ile vita ya 50K (sikumbuki vizuri) aliposhtumiwa kuwa kacheza faulo na yule dada mkubwa. Akataka kususa tukamshauri akabaki mpaka akapata na mtoto humu.
Kama kuna ishu ni vizuri kuisema. Humu tuko wengi na mikwaruzano daima itakuwepo. Cha muhimu ni kuambiana ukweli, kusameheana na kusonga mbele. Hii ndiyo kanuni ya jumla ya kuzingatia popote pale!
Cole
Niko peke yangu ninayegawa likes hapa leo? Mbona sioni likes zingine? Anyway, ngoja tu mi niendelee. Nyie kama mnapokea tu bila kutoa hiyo ni Shauri yenu!![]()
Nitajie hizo sababu. Sipendi ubinafsi wa wanasiasa wa Afrika. Mwanasiasa anapoiba na kuwa bilionea wakati watu aliowaibia hawana hata pesa ya kununua aspirin, ni binadamu huyo?
IndeedAfrica
Unite
Kweli mkuu ila angalia chanzo....sikumquote yeye but akaanza kushaukwaMmh jaman usifike huko. Uadui kisa dini haufai. Kila mtu na iman yake mkuu.