Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sawa Mfalme Mjanja. Tumekuelewa. Maneno ya wahenga kweli ni sawa na msahafu na hayapaswi kubadilika ili kuendanana na mabadiliko ya kijamii.Maneno ya wahenga hayabadiliki,mfano hiyo dawa ya moto ni moto siku hizi wana sema dawa ya kiburi jeuri,
Tatizo haya maneno ya wahenga mnayatafsiri moja kwa moja, mfano ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji,haimaanishi kunyolewa nywele za kichwani.
Ishi na ufurahie maisha uliyonayo sasa,usisubiri kuishi maisha utakayoyapata mbeleni ambayo huna uhakika nayo.