myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
13:54
Hii ni hatari sana aisee! Badala ya kutatua tatizo unaweza kujikuta unakuza tatizo!
Babe rudi hukuuuKwema Mzee wa Busara CLEVERKING, viph kipande icho.
Nipo mkuu. Kwema huko? Majukumu yanakaba!
Wewe utanipeleka popoteBabe rudi hukuuu
Shemeji nakusalimuNipo mkuu. Kwema huko? Majukumu yanakaba!
Umenifanya nicheke hapa acha tu mana sio kwa kuni like kimya kimya[emoji28][emoji28]Wewe utanipeleka popote
Wherever you go na mm nitakufata
Unajua sababu hatuonani unakuta unavyo andika ndo vinakuwa identity yakoHuku shwari tu mkuu,naona mmeshanipa nickname hapa! 😀😀
Yaani ni kama network vile,wherever u go network will follow you 😀😀Wewe utanipeleka popote
Wherever you go na mm nitakufata
Alisema anataka kupunguza kuingia JF na ikiwezekana kuachana nayo kabisa.
Sema Mfalme Mjanja. Kwema?Cole Williams ISIS Rutashubanyuma BAK cocochanel Kichwa Kichafu bbade cherie neisha strong gal Bob12 myoyambendi SHIMBA YA BUYENZE Jembekillo mzee wa liver na wengine wote nawapa hi!
Ni kweli aisee,maandishi "comment" sometimes hurepresent uhalisia wa mtu.Unajua sababu hatuonani unakuta unavyo andika ndo vinakuwa identity yako
Nilikua nimekaa zangu sa jina lakoUmenifanya nicheke hapa acha tu mana sio kwa kuni like kimya kimya[emoji28][emoji28]
Ooohh haya nimerudi hapa kipenzi[emoji12][emoji12]Nilikua nimekaa zangu sa jina lako
Likaja kichwani ndo nikawa nakutafuta
Ila mimi napakubali sana hapa pamenipa mengi pia am sure patanipa mengi hadi mpenzi nimepata si mchezo.Ni kweli aisee,maandishi "comment" sometimes hurepresent uhalisia wa mtu.
Nimefanya tafsiri sisisi ya jina lako. CleverKING !!!!