The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Tupo pamoja mkuu na hongera kwa kupata mpenzi hapa ila kua muangalifu tu.Ila mimi napakubali sana hapa pamenipa mengi pia am sure patanipa mengi hadi mpenzi nimepata si mchezo.
Tupo pamoja mkuu na hongera kwa kupata mpenzi hapa ila kua muangalifu tu.Ila mimi napakubali sana hapa pamenipa mengi pia am sure patanipa mengi hadi mpenzi nimepata si mchezo.
Yes i know that.Nimefanya tafsiri sisisi ya jina lako. CleverKING !!!!
Nipo shemeji. Kwema huko? Ijumaa inaendeleaje?Shemeji nakusalimu
Asante my love na mm nipoOoohh haya nimerudi hapa kipenzi[emoji12][emoji12]
Na kutuma code pia😀😀Za mchana. Kazi yangu hapa ni kugonga likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kutuma code pia😀😀
Huku kwema kabisa,ijumaa ni njema mno mana imekuja na baraka nyingi sanaNipo shemeji. Kwema huko? Ijumaa inaendeleaje?
[emoji8][emoji8][emoji8]Asante my love na mm nipo
Hapa na ww
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tupo pamoja mkuu na hongera kwa kupata mpenzi hapa ila kua muangalifu tu.
HahahahaNi sawa na toa likes pata likes
Haya mambo yanachanganya sanaUsingizi ni muhimu. Msikeshe kwenye likes!!!![]()
Amen. Baraka hizo na ziwepo na kuzidi tena na tena daima dumu!Huku kwema kabisa,ijumaa ni njema mno mana imekuja na baraka nyingi sana
Sio kazi rahisi,Alisema anataka kupunguza kuingia JF na ikiwezekana kuachana nayo kabisa.