Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipi sis? Huko Marekani ulikokuwa nasikia ni kawaida akina baba kwenda kushuhudia mtoto akitoka. Kuna video youtube jamaa wanazimia yaani manesi inabidi tena waache kumsaidia mzazi na kuanza kumpulizia mume aliyefleti. Shikamoo mama zetu!
Marhaba! Hiyo kitu inavunja ndoa sana! Watu wa zamani walikuwa na akili sana!
 
Back
Top Bottom