salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Inavyoonyesha uliwahi kuachwa kwenye mataa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Aaa wapi. Ukihonga ndiyo zimeenda hizo!
Inavyoonyesha uliwahi kuachwa kwenye mataa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Aaa wapi. Ukihonga ndiyo zimeenda hizo!
Dah wachaga wanabaguliwa aiseee hata hakuna sababu za msingi mpaka kufikia hali hiiNi mimi. Nipo kwenye process ya kuwa verified user ila mods wanazingua balaa.
Kuna kabinti ka Kichagga hivi mh kamenimaliza ila ndo hivyo wazazi hawataki kabisa kusikia Mchaga. Nipo nahangaika tu sis...
Kama mimi kuna hili dole gumba linafukuta kwa maumivu fu fu fu fuuuuu non stop. Hii vita ya like aisee kuna watu itatuacha hatuna vidole tuanze kusingizia tulijeruhiwa vitani!Ulikuwa wapi watu tumevimba madole
Kapumzike mkuu......likes zako nitakuwekeaNinge mention majina kabisa ila tupo wengi wanajanvi.
Nimeambiwa eti wanaua waume zao watoto wakikua. Yaani we chasaka unakuwa huna chako. Nimeogopa sana lakini huyu Binti dah! Ana kila kitu masikini...Dah wachaga wanabaguliwa aiseee hata hakuna sababu za msingi mpaka kufikia hali hii
Itabidi utumie cha mguuKama mimi kuna hili dole gumba linafukuta kwa maumivu fu fu fu fuuuuu non stop. Hii vita ya like aisee kuna watu itatuacha hatuna vidole tuanze kusingizia tulijeruhiwa vitani!
Hapa mjini. Kuachwa kwenye mataa siyo jambo la ajabu na ukiamua kuhonga hizo ndo zimeenda. Marijali tunajua how the game is played!Inavyoonyesha uliwahi kuachwa kwenye mataa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Majukumu tu.Usingizi umekubali!
Hayo sidhani kama yapo kwa wachaga wote......binaadam hatuko sawa kimaumbileNimeambiwa eti wanaua waume zao watoto wakikua. Yaani we chasaka unakuwa huna chako. Nimeogopa sana lakini huyu Binti dah! Ana kila kitu masikini...
Hata ikitokea ukaondoka unexpectedly nitakuja kugonga likes kaburini kwako mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Bye bye Wakuu.
Kunako majaliwa ya muumba tutaona tena.
Cha mguu sina mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi utumie cha mguu
Take careBye bye Wakuu.
Kunako majaliwa ya muumba tutaona tena.
Mkuu nitarudi nitarudi leo siku nzima sikuwa nanyi ila nitarudi kupita kila post kutia like kama ilivyo kawaida yanguKichwa kichafu.....watu waamka wewe ndo walala[emoji28] [emoji28]
Siwezi kukuacha salama na like