moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tumtemeke sanga
Tumtemeke sanga
Nipe nikupe, raha tupate, njoo upate mambo mazuri kutoka kwanguNipe nikupe
Duu kiongozi umerudiPamoja mkuu tuendee kupiga nyondo za like
KivipNimejaza hadi hii post
Piga mzigo tu hakuna hakuna kulembaNimejaza hadi hii post
Matamanio gani kiongozi? Maana bhana...Huu uzi umepanuka sana kiasi kwamba umeleta matamanio
Karibu mgonga nyundoMajukumu mkuu
Choka mbayaSIMBA BUNYENZE
KiyahudiHiki kitakuwa ni kiyahudi au kituruki
Unakumbuka alivyolipukiwa na Bomu chang'ombeMondlane
Duu asee, shimba ya buyenzeAsante mkuu. Ni SHIMBA YA BUYENZE maana yake katika Kikoromije ni Simba (dume) lenye manyoya!
Kweli hujui michezo yao ya kutumia fyekeo mbele ya mkwanja na vihamba? Tembelea wilaya ya hai ukajioneeDah wachaga wanabaguliwa aiseee hata hakuna sababu za msingi mpaka kufikia hali hii
Mpaka hapo mtakapo pokea Noah zenu za makanikiaDuh mi nilijua mwisho jana tuu kumbe hata leo utaratibu unaendelea
Ahaaaaa mkuuu upo juuAsante mkuu. Ni SHIMBA YA BUYENZE maana yake katika Kikoromije ni Simba (dume) lenye manyoya!
Kabisa mkuuKama mimi kuna hili dole gumba linafukuta kwa maumivu fu fu fu fuuuuu non stop. Hii vita ya like aisee kuna watu itatuacha hatuna vidole tuanze kusingizia tulijeruhiwa vitani!
Orusegun obasanjo
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau