cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Like zinapungua
Mmmmhhhh.
Mbona kikwetu ina maana nyingine.
Kikwenu ni lugha gani?
Nimeota nimezuiwa bandarini nikiwa na makontena yangu ya likesWakati tunawasubiri leteni hard news za jana usiku za kitandani... kama huna mke lazma uliota unakimbizwa na panya
Watu sasa hv wapo morning glory na wake zako... vuten subra
Poa poa mkuu.Tushaqmka
Chukua like yakoPoa poa mkuu.
Miss uuuuuuuTupo
Umeshapata morning glory?Tushaqmka
Mama yangu! Itabidi uwatulize boli wazee, maana mwanamke wa kichaga hata kuacha ulale njaa! Ni wachapa kazi wa hali ya juu! THEY ARE CREATORS! Tafuta mbinu zote! Lazima hiyo ndoa ifungike tu! Hawana bao hapo! Haya kula likes my brother!Ni mimi. Nipo kwenye process ya kuwa verified user ila mods wanazingua balaa.
Kuna kabinti ka Kichagga hivi mh kamenimaliza ila ndo hivyo wazazi hawataki kabisa kusikia Mchaga. Nipo nahangaika tu sis...
Glory to the world its raining blessings!Umeshapata morning glory?
Umenena haki....na Wewe unakula likes kama kawaMama yangu! Itabidi uwatulize boli wazee, maana mwanamke wa kichaga hata kuacha ulale njaa! Ni wachapa kazi wa hali ya juu! THEY ARE CREATORS! Tafuta mbinu zote! Lazima hiyo ndoa ifungike tu! Hawana bao hapo! Haya kula likes my brother!