Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mimi. Nipo kwenye process ya kuwa verified user ila mods wanazingua balaa.

Kuna kabinti ka Kichagga hivi mh kamenimaliza ila ndo hivyo wazazi hawataki kabisa kusikia Mchaga. Nipo nahangaika tu sis...
Mama yangu! Itabidi uwatulize boli wazee, maana mwanamke wa kichaga hata kuacha ulale njaa! Ni wachapa kazi wa hali ya juu! THEY ARE CREATORS! Tafuta mbinu zote! Lazima hiyo ndoa ifungike tu! Hawana bao hapo! Haya kula likes my brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…