Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Gambling is not a game. It is a disease!Game of gambling
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bro kwa hiyo ni ugonjwaGambling is not a game. It is a disease!
Ndiyo mkuu. Unatoa likes na wewe unapata likes!!!Aisee huku mwendo wa likes tu
huwezi jua
Yes. Compulsive gambling/Gambling addiction is classified as a disease. Unacheza kamari mshahara, nyumba, gari na kila kitu ulichonacho and you can't stop. Mwishowe baada ya kupoteza kila kitu (na utapoteza tu!) itabidi ama ukaibe au ndo mawazo ya kutaka kujiua yanakujia sasa. Unajiona huna thamani tena. Ni ugonjwa mbaya![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bro kwa hiyo ni ugonjwa
Mtu una hasira unataka umpe mtu vidonge vyake utaya-taste saa ngapi? Unampa kwanza vidonge vyake halafu baadaye ukipoa ndo majuto yanaanza sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMtu una hasira unataka umpe mtu vidonge vyake utaya-taste saa ngapi? Unampa kwanza vidonge vyake halafu baadaye ukipoa ndo majuto yanaanza sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu una addiction sanaYes. Compulsive gambling/Gambling addiction is classified as a disease. Unacheza kamari mshahara, nyumba, gari na kila kitu ulichonacho and you can't stop. Mwishowe baada ya kupoteza kila kitu (na utapoteza tu!) itabidi ama ukaibe au ndo mawazo ya kutaka kujiua yanakujia sasa. Unajiona huna thamani tena. Ni ugonjwa mbaya!
Gr8 kwa kweliWakuu. Jumamosi inaendeleaje?
Jumamosi tulivu kabisa BroWakuu. Jumamosi inaendeleaje?
Vitu vingi vinavyoleta mapinduzi huanza kimzaha mzah. Fecebook bwenini Harvard, Google bwenini Stanford, Apple kwenye gereji...and the list goes on and on!
Gregory MendelGenetics
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Full laana volume i
Kama malikesGambling is not a game. It is a disease!