mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Uruguay
Tayari watu wa military wanasema sasa itawezekana hata "kuzalisha" wanajeshi imara wasio na emotions kama woga na huruma. Unakuwa na hardcore soldiers kama Navy Seals au Green Barretts ambao wamekuwa designed kuanzia tumboni. Wanasema miaka 100 ijayo binadamu pengine atakuwa tofauti kidogo na ataweza kuishi maisha marefu zaidi. We won't be here [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya muda lina backfire!
Hii nchi niliifahamu kwenye mashindano ya miss worldTrinad and Tobago