Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yes. Compulsive gambling/Gambling addiction is classified as a disease. Unacheza kamari mshahara, nyumba, gari na kila kitu ulichonacho and you can't stop. Mwishowe baada ya kupoteza kila kitu (na utapoteza tu!) itabidi ama ukaibe au ndo mawazo ya kutaka kujiua yanakujia sasa. Unajiona huna thamani tena. Ni ugonjwa mbaya!
Hahahahaha
 
Enforcer nipo. Tukumbuke kutoa likes bila kuruka post yo yote. Ndiyo lengo la uzi huu.
0dd9c0d239b0e06b78f84248025ddbe4.gif
 
Gregory Mendel

Tayari jana wametangaza sasa wanaweza kubadilisha DNA za mtoto akiwa tumboni. From medical point of view hii ni nzuri sana kwa sababu embryo kama ina magonjwa kama down syndrome, celebral palsy na ishu zingine wataweza kubadilisha kabla mtoto hajazaliwa. Shida ni kwamba watu wataweza sasa kujipatia designer babies - unamtengeneza mtoto unavyotaka mwenyewe - urefu, jinsia, rangi, nywele, msambwanda, na pengine hata akili na tabia. Watu wa dini tayari wanapiga makelele kuwa kufanya hivyo ni kuingilia kazi ya Mungu. Na yote haya yalianza na Gregory Mendel - mtawa masikini akifanya majaribio katika kibustani chake cha choroko!
Baada ya muda lina backfire!
 
Back
Top Bottom