mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaYes. Compulsive gambling/Gambling addiction is classified as a disease. Unacheza kamari mshahara, nyumba, gari na kila kitu ulichonacho and you can't stop. Mwishowe baada ya kupoteza kila kitu (na utapoteza tu!) itabidi ama ukaibe au ndo mawazo ya kutaka kujiua yanakujia sasa. Unajiona huna thamani tena. Ni ugonjwa mbaya!
HahahahahaMtu una hasira unataka umpe mtu vidonge vyake utaya-taste saa ngapi? Unampa kwanza vidonge vyake halafu baadaye ukipoa ndo majuto yanaanza sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona comment zako kwenye Uzi mmoja wanauzungumzia huu uziVitu vingi vinavyoleta mapinduzi huanza kimzaha. Fecebook bwenini Harvard, Google bwenini Stanford, Apple kwenye gereji...and the list goes on and on!
Sema mzee wa Masaki. Naona leo ni full vicheko tu. Unapunga upepo nini hapo ufukweni huku ukinyonya Martini na Goddess wako akikupapasa papasa kifua? Kula maisha mzee kwa sababu this is it! Hakuna mengine!!!Hahahahaha
Shimba!Sema mzee wa Masaki. Naona leo ni full vicheko tu. Unapunga upepo nini hapo ufukweni huku ukinyonya Martini na Goddess wako akikupapasa papasa kifua. Kula maisha mzee kwa sababu this is it! Hakuna mengine!!!
TrueVitu vingi vinavyoleta mapinduzi huanza kimzaha. Fecebook bwenini Harvard, Google bwenini Stanford, Apple kwenye gereji...and the list goes on and on!
HahahahaEnforcer nipo. Tukumbuke kutoa likes bila kuruka post yo yote. Ndiyo lengo la uzi huu.
HahahahaKama malikes
Ndiyo. Ni comment za Kishilawadu au Kijiniazi? Mzee wa Masaki bwana!Nimeona comment zako kwenye Uzi mmoja wanauzungumzia huu uzi
Ni mkasa wa aina yake
Ndio binaadamu tulivyo. Badala ya kumsaidia tunazidi kumharibuYeuwii
Baada ya muda lina backfire!Gregory Mendel
Tayari jana wametangaza sasa wanaweza kubadilisha DNA za mtoto akiwa tumboni. From medical point of view hii ni nzuri sana kwa sababu embryo kama ina magonjwa kama down syndrome, celebral palsy na ishu zingine wataweza kubadilisha kabla mtoto hajazaliwa. Shida ni kwamba watu wataweza sasa kujipatia designer babies - unamtengeneza mtoto unavyotaka mwenyewe - urefu, jinsia, rangi, nywele, msambwanda, na pengine hata akili na tabia. Watu wa dini tayari wanapiga makelele kuwa kufanya hivyo ni kuingilia kazi ya Mungu. Na yote haya yalianza na Gregory Mendel - mtawa masikini akifanya majaribio katika kibustani chake cha choroko!
Mzee leo anacheka mno jamani duh! Whatever you did to him, keep on doing it. It's working ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shimba!
Walahi!
hahahaha
IndeedMzee leo anacheka mno jamani duh! Whatever you did to him, keep on doing it. It's working ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]