Ungekuwa unapenda mpira alitokea mcheza hatari sana Man u
HahahaHawa machizi wamezidi sasa
kichekesho:
"Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani. Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi. Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
dah! balaaa!"
Hahaha naiba hii,napeleka kwenye ka uzi kangu
Tupe likes
Hahaha maisha yamebadilika kam mabadiliko ya tabia nchi
Jitahidi utuelewe. Ni burudani tu. Post cho chote isipokuwa matusi. Utaoga likes za kutosha. Na wewe unagawa likes za kutosha. Ngoma droo...
Dawa ya moto ni motoHapa ngoma dro kwa msichana na mvulana
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY.
Girl: oh ucjal ntakuja na hata ntalala huko huko Boy: na haruc je?
Girl: nilikuwa nakutania
Boy: hata mi nilikuwa nakutania
Nimekupata sasaNdio post chochote hata mapishi tukupe likes nawe utupe likes