manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Hazijawekwa. Weka tu usiogope jamanNaogopa kuziweka huko kwa sababu sijui kama zilishawekwa tayari ama la. Sitaki kurudia!
Damascus SYRIA
Sasa wewe unasema ulikua unatafutwa wakuue halafu uniagize mimi tena? Nani kakwambia kua mm naweza kutumika kama Chambo?Ushawahi kufika huko mkuu?
Maana Nina goma langu la huko ktk mji huo kitongoji cha alsharaz lilinizimikia kinyama hadi mabroo zake wakawa wananitafuta waniue, sasa kama unapajua nikuagizie huko,auu?
U TooGood evening
HahahahaUshindwe na ulegee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umerudiUshindwe na ulegee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dwight Yorke,amechezea man u 1998-2002Napenda sana mpira,nani huyo alitokea huko?maana huwa sifafilii nchi zao bali team zao. Nashabikia man u,real madrid
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ushawahi kufika huko mkuu?
Maana Nina goma langu la huko ktk mji huo kitongoji cha alsharaz lilinizimikia kinyama hadi mabroo zake wakawa wananitafuta waniue, sasa kama unapajua nikuagizie huko,auu?
Aende tu asituumize vichwa,waliondoka kina Xavi,Puyol,Yaya toure na wengineo na team ikawepo tu,Barça sio team ya jeshi la mtu mmoja.Neymar anatarajia kujiunga na PSG jumatatu ijayo kwa ada ya euro 300mil
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah[emoji7] [emoji7] [emoji3]*Wanawake* *mnatushinda* *tabia*
*jina - facebook* = *cute girl bae*
*jina - instagram* = *cute nana*
*jina - whatsapp* = *cutie lol*
*home* = *nyansatu*
*school* = *nyangoko mwampololo*
Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
Sana tu,di maria anashuka paleAende tu asituumize vichwa,waliondoka kina Xavi,Puyol,Yaya toure na wengineo na team ikawepo tu,Barça sio team ya jeshi la mtu mmoja.