carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nilibanwa kidogo leo...Asante. Usipokuwepo hapa uzi huu haunogi ipasavyo. Andjul yupo anapost mapicha ya kwao Tukuyu!
Nilibanwa kidogo leo...Asante. Usipokuwepo hapa uzi huu haunogi ipasavyo. Andjul yupo anapost mapicha ya kwao Tukuyu!
A.Y anamikwara kweli yan[emoji2][emoji2]
Claudio caniggiaLionel messi la purga
Diego maradona
Ukiona mtu hapewi Likes ujue yeye hatoi likes....Hapa ni toa likes upate likes...wende kazi.Watu mmegoma kupeana likes?kuna post zinatia huzuni hazina likes hata 1...dooh