Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
ACTION BUILDS CONFIDENCE
Watu mmegoma kupeana likes?kuna post zinatia huzuni hazina likes hata 1...dooh
That's true buddyACTION BUILDS CONFIDENCE
Tupo. Asante kwa kuja...Nilibanwa kidogo leo...
Anajaribu kumvutia baby mpyaSijui ni vile sijazoea kumuona hivyo ila ile mikatani kichwani angetoa tu haijampendeza hata kidogo
Huko alikoanatuchungulia tuHuzuni kuondoka kwa kichwa. Hope wiki ijayo mambo yatakua shwari
Baby mwenyewe msami??Anajaribu kumvutia baby mpya
NashukuruTupo. Asante kwa kuja...