Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio huyo mchepukaji hodar kwa mastaaBaby mwenyewe msami??
Ndio huyo mchepukaji hodar kwa mastaaBaby mwenyewe msami??
Carbamazepine I love you infinitely timesBaby mwenyewe msami??
Nipo nakumbushia mara kwa mara. Halafu nadhani watu sijuu waameanza kuzipuuza/kuchoka na zile codes. Tuendelee tu kukumbushana...Watu mmegoma kupeana likes?kuna post zinatia huzuni hazina likes hata 1...dooh
Hahahah jaman si arudi tuHuko alikoanatuchungulia tu
Alikuwepo hapa asubuhi na tumisemo semo hivi tena tule tule twa mafumbo mafumbo ya kiparabo parabo halafu kimya kimya akasepa!Cole Williams babe nimekuhamu njoo nikuone