Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
C924
Cole akiona hii moyo phaaaaa! Halafu emoji ya kutembea akienda zake inafuatia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul mchepuko wangu nakutafuta
Ukiwasilisha maoni yako kwa lugha isiyokua ya kuudhi au lugha "chafu" huwezi pigwa ban bila msingi, mimi mpaka leo sijawahi kupigwa ban JFSiku hizi bana uki-dare to talk openly unaweza kujikuta matatani. Ile sheria ya makosa ya mtandao ile inauma na kupuliza...
Pokea hiyo like. Dawa ya kupata like ni kutugongea like