Nimekuelewa mkuu. Lugha makini ni muhimu na inaweza kukufanya ukaepa kubambikiwa hata hizi kesi za uchochezi...Ukiwasilisha maoni yako kwa lugha isiyokua ya kuudhi au lugha "chafu" huwezi pigwa ban bila msingi, mimi mpaka leo sijawahi kupigwa ban JF