Kipindi hiki ukiletewa nakataa na vile nimesha beba Babe S ndio kabisa nakataaUnakataaga nini na mazingira yapi..
Mzima lakini?mefurahi kukuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niende Chuo nilishaachana na hayo mambo, labda nikasomee jinsi ya kumpenda carbamazepine tu
[emoji23][emoji23][emoji23]SHIMBA YA BUYENZE ya kweli haya?Kwa mfano bro wangu shimba ya buyenze, yaan mwanamke akiwa kapigwa pasi kama mchina hata amtake viph atampotezea
Nashukuru weekend iko poa...sijui nyie!?.
Swalama kabisa...moyo wangu baridiiii nimekuonaHabari za humu ndani
Hela ye zake si anazo za kazini nikimuongezea na zangu, she is miss independent awezi papatikiaHela mwanangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hela,achana namba za basidei,matumizi ndio muhimu
Njoo tutumie basi[emoji23][emoji23][emoji23]hivi waja lini vile[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hela mwanangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hela,achana namba za basidei,matumizi ndio muhimu