Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3179.JPG
 
Siyo kuwa bondia. Napenda tu kuangalia. Na gym huwa naenda kwa sababu hiyo. Kujua tu jinsi ya kujilinda hata siku ikitokea Nsamaka ameniita kwenda kumtuliza Andjul naenda bila wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu self defence ni muhimu sana hasa ukizingatia hali ya kiuchumi ni mbaya sana vibaka kila kona
 
Back
Top Bottom