Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Good
Morning
Europe
Morning
Europe
Mbio nayo ni silaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shemeji hizo ngumi za kwenye kideo hazitakusaidia kabisa...Mimi ni fimbo na mawe...Mwishoni nikishindwa huwa mbio zinaniokoaga
Hahahha balaaPombe siyo supu!![]()
Mke mmoja udumaza akiliDogo,mapenzi umeyawekea formula kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chepuka upate akili...
Mwanamke apigwi kwa fimbo wala mangumiSiyo za kwenye kideo. Naziendea gym kabisa tena na walimu wazuri tu. Sparring sessions kali ukizubaa unakuwa knocked out. Fimbo nilifundishwa na babu wakati wa kuchunga ng'ombe na bado sijasahau. Mbio ntakukamata tu...
Moral of the story: Mtunze vizuri dadangu and never raise your hand on her!
We miss u 2Nawamiss mie...
Aisee nilikosa huu mjadala JanaWeeeee ushindwe na ulegeee[emoji23][emoji23][emoji23]achepukie wap?kwa nsamaka au?
The best of MugabeHahahahahaha lol! Baadhi ya warembo wa kiafrika ndiyo walivyo! hawajui ni wakati gani wa kuacha kuongea.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] every body needs somebody. Acha nikamtafute mjomba tuI knew I loved you before I met you
I think I dreamed you into life
I knew I loved you before I met you
I have been waiting all my life