Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tha real voice himornieee mkuu
Yes mzee wa liverThat's our rule
Chochote likes
No matusi
No picha chafu
Ukirudi nyuma ya uzi huu uwangalie comment yako ya kwanza na tarehe,
Really interesting walahi!
Yangu ilikuwa number 1033
6/16/2017
Nilipata likes 6
Magnificent really!
Ukirudi nyuma ya uzi huu uwangalie comment yako ya kwanza na tarehe,
Really interesting walahi!
Yangu ilikuwa number 1033
6/16/2017
Nilipata likes 6
Magnificent really!
Poa kabisaZa asubuhi wana likes
Hahahahahahaahhah. Mimi na mahindi yangu ya kukaaangaJana ilikuwaje ukaondoka bila hata kuniaga??[emoji35][emoji35]
Tusipoteze lengo la hii thread,
TOA LIKES UPATE LIKES.
Neno zuri kwa Siku ya leo*" vipepeo ni wazuri" Lakini!!! Hawana ASALI, Bali nyuki wanang'ata ndio wanatoa asali, WAKATI MWINGINE WALE UNAOWAONA WAZURI, NA WEMA KWAKO, HAWAJABEBA BARAKA ZAKO!!!*
*BALI WALE UNAOWAONA WAKALI, NA WASIOFAA!!! NDIO MUNGU AMEWEKA BARAKA ZAKO,!!!*
Mungu atupe kuona" WEMA ndani ya kile ambacho tunaona ni" KIBAYA".
Time Of Church Nw
Sent using Jamii Forums mobile app