Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
D243
Hahahahaha dah*KIAMA NI NINI[emoji275]- kiama ni pale unapo mtumia msg Dady badala ya Diana na kumwandikia "Bby ada nlio pewa na mzee ndo iyo nliokupa na cjaenda shule kwa ajili yako"*
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mwanamme mwenye PhD yake lakini umezama kwa babe S
Morning my QueenGOOD MORNING TANZANIA
Baraka zake!Na makucha yake
Ulivyo enda kuoga, Dakika kadhaa si nikasinzia my loveJana ilikuwaje ukaondoka bila hata kuniaga??[emoji35][emoji35]
Good afternoon my love!Morning my Queen
Usinune bhana my love Sema hata ukinuna Sawa maana uzuri wako hakunaga.Jana ilikuwaje ukaondoka bila hata kuniaga??[emoji35][emoji35]