Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Morning my love!Morning my Queen
Andjul ukiona post hii agiza jack D mi nitalipia tu hakuna namnaBabe habari ya jumapili...usijali mimi nimekwambia kwako nang'ang'ana sitoki
Hahahahaha muhengaMuhenga wa uzi huu!
Aisee!
Have a blessed Sunday
AMBIELE KIVIELE HIVI UNAUNDUGU NA MWAKIPESILEMSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
sijaonaPM yake mpka sasaNjoo Masaki
Toure Drive
Ukifika Golden Tulip, subiri hapo Mzee wa Liver atakuja kukuchukua
PM number yako ya simu kwake!
Thanks my dear
Salama jirani..yaani ikifika jmosi nnakuwa wa kijijini mpaka j3..lakini shwariUnapoteana sana siku hizi hadi nakumiss bhana..habari yako jirani
Top 20Salama jirani..yaani ikifika jmosi nnakuwa wa kijijini mpaka j3..lakini shwari
Post tukujaze malikeSalama jirani..yaani ikifika jmosi nnakuwa wa kijijini mpaka j3..lakini shwari