ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Andju
Carba
Mzee wa liver
Kaka shimba
Isis
Baby s
Kichwa
Chakii
Numbisa
Na mashemeji zangu wote na wale ambao sijawataja nawamis sana.
Andju
Carba
Mzee wa liver
Kaka shimba
Isis
Baby s
Kichwa
Chakii
Numbisa
Na mashemeji zangu wote na wale ambao sijawataja nawamis sana.
We miss u 2Andju
Carba
Mzee wa liver
Kaka shimba
Isis
Baby s
Kichwa
Chakii
Numbisa
Na mashemeji zangu wote na wale ambao sijawataja nawamis sana.
Hivi kwanini "sema"Andjul ukiona post hii agiza jack D mi nitalipia tu hakuna namna
Nzuri carbaHabari za asubuhi wapendwa
Safi mzee Wa nambaZa asubuhi.
Hahahahahah...dahMSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
MANSA MUSSAUWIVU UTAKUUA MAMA MTU MZIMA
TAFUTA KAZI
YEYE AMESHA KUPUUZIA NAWE ACHANA NAYE
UNAJIAIBISHA MTU MZIMA
Aiseeh pole kwa majukumuSalama jirani..yaani ikifika jmosi nnakuwa wa kijijini mpaka j3..lakini shwari
Thank you, naja rasmi humu muda si mrefu nakuja kuweka kambiWe miss u 2