sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Bora ukose chakula lakini si kukosa likes za hapa[emoji16]Hapa si pakukosa wallah
Bora ukose chakula lakini si kukosa likes za hapa[emoji16]Hapa si pakukosa wallah
Joseverest upo mkuuHapana mkuu
Lina Nguvu za Ajabu....magicalJina hilo mamaa linaweza kukukosesha hata mume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji95]
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mida yangu ikifika utaniona pale juu usiwaze...HATUSHINDWI [emoji123][emoji123][emoji123]Leo nyuzi kule zinakupita kureply wa kwanza[emoji23] [emoji23]
Wewe ni Ke? Acha masihara Mkuu?Karibu! Mimi ni ke
kwa sababu hutoi likes na weweMbona mimi sioni like
Mstue na mpe likesNipo kwenye daladala hapa namuona mshikaj amekaa siti ya mbele yangu naye yupo kwenye huu uzi,naona anatabasamu tu na kutoa likes,cjui nimshtue [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Salama karibu chakula cha likesHabarini za asubuh
Magomeni mapipa tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Analipia bili ya maji dawasco![emoji23] [emoji23]
Na pia nlidhani kama ww.Dah Mitandao hii. Me kila nikikuona humu najua ni me. ID yako ni matata kwelikweli
Haaaa haaaa haaaa mshtue huu uzi ni homa ya duniaNipo kwenye daladala hapa namuona mshikaj amekaa siti ya mbele yangu naye yupo kwenye huu uzi,naona anatabasamu tu na kutoa likes,cjui nimshtue [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbaya, watu tunanyimwa likesHabari za humu