Good for you my dear
Mzee wa liver nyie ni wasitaafu wa ndoo EPL mpo mnakula peshenHata sisi ni wahenga
Vijana wanaita show za kibabe shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Shemeji sijawahi kumuona uniq anaimba mashairi kama leo ikabidi niulize isijekuwa kachezea chaga jana[emoji2][emoji2]
Tena kwa yule mwenye zigo la kuvunja chagaVijana wanaita show za kibabe shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuona mama.Achana na makaburi yanayo fukuriwa...Niambie kisura wangu,mwenye ueusi wako wa mng'ao utadhani nyota ya mashariki ing'aayo arufajiri...Ujue nipo lkn
Hahaha hapo tu ndio napokupendeaga, sifa kibao hadi anchanganyikiwa. Hasira zote kwishney[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuona mama.Achana na makaburi yanayo fukuriwa...Niambie kisura wangu,mwenye ueusi wako wa mng'ao utadhani nyota ya mashariki ing'aayo arufajiri...
Sifa sawa lakini matendo je. Yakoje?Hahaha hapo tu ndio napokupendeaga, sifa kibao hadi anchanganyikiwa. Hasira zote kwishney
Hasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hapo tu ndio napokupendeaga, sifa kibao hadi anchanganyikiwa. Hasira zote kwishney
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanaita show za kibabe shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️