carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha kumdanganya[emoji23][emoji23][emoji23]weusi tangu lini ukang'aaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuona mama.Achana na makaburi yanayo fukuriwa...Niambie kisura wangu,mwenye ueusi wako wa mng'ao utadhani nyota ya mashariki ing'aayo arufajiri...
UuuuwiiiiiHahaha hapo tu ndio napokupendeaga, sifa kibao hadi anchanganyikiwa. Hasira zote kwishney
Kupendwa raha, hahah acha tupambane na hali zetu maana hakuna namna.Uuuuwiiiii
Anaijua shughuli yangu,ndio maana akiondoka hafiki mbali,anarudi.Au shemeji ulikuwa unaulizia matendo gani?Sifa sawa lakini matendo je. Yakoje?
Thanks dearThanks my love
Kaka shimba nakusalimia
Natumia miwani,unataka kusema nadanganyika??? Basi, acha nidanganyike kwa hiari yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kumdanganya[emoji23][emoji23][emoji23]weusi tangu lini ukang'aaa
Ur welcome my loveThanks dear