Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana,naona mtandaon wanasema ni dawa hasa ikiwasha ndo inaingia vizuri

Siku nyingine ukiungua na uji au mafuta paka sabuni yoyote ya kufulia lile povu lake ni dawa au mafuta ya baby care
Asante sina hamu tena...hiyo ya povu nilikua sijui huwa napaka vasseline au asali...asante kwa nyongeza
 
Na mimi namtafuta panjuani
 
Pole sana,naona mtandaon wanasema ni dawa hasa ikiwasha ndo inaingia vizuri

Siku nyingine ukiungua na uji au mafuta paka sabuni yoyote ya kufulia lile povu lake ni dawa au mafuta ya baby care
Mimi nikiungua namwagia maji ya baridiiii panapoa,ila baada ya masaa machache yanatokea malenge lenge,sijui kwa nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…