Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lineups

Screenshot_2017-07-30-20-18-35.png
 
Mkwara hevi ha haaaaa. Ila kale katoto ka kishua kana mvuto fulani hivi hasa kakianza makwotesheni ya kimitego tego. Kanaonekana kama kasomi fulani hivi ka kiwango kiwango. Ndo maana bwana mdogo alianza kutetereka kidogo. Ni afadhali sasa umemuweka wazi hata akija kupuyanga tena mashahidi tupo!
Nafikiri kako chuo kanachukua md sijui anyway hiyo si kazi yangu,me nakula sahani moja na Cole
 
HUU NDO UCHIZI KTK MAISHA. Maana yake,
1:Unachokitaka hukipati (MAPENZI)
2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3:Kinachokufurahisha hakidumu (HAWALA)
4:Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)
6.Kinacho dhalilisha kinapendwa (ZINAA)
7.Kinacho ogopwa hakina maandalizi (KIFO)
8.Kinacho andaliwa hakiendelei (UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi (QUR'AN & BIBLE)
10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA)[emoji767]KDS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom