ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Kimesha chomolewa!Uwiiiii naomba nione na mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]puliziiiiiiii
Emotional za mapenzi ni hatareee!
Kimesha chomolewa!Uwiiiii naomba nione na mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]puliziiiiiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unafikiri wanajali mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tuko wengi aiseeh...Mimi niliifungua lakini sikuona kitu labda mzee wa liver atusaidie kwa kweli
The heart is not where it lives BUT where it lovesWamasaki wameanza lini kututenga sisi wa manzese?sio fair hii
HahahahaISIS nawe hauvumi lakini umo[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dooh sio kwa salamu hizo za ukooJamaa yangu alinipigia simu
JAMAA: matokeo yametoka twende tukayaangalie
MIMI: nipo na mzee siwezi nenda kaniangalizie, ukikuta nimefeli somo moja niandikie 'nakusalimia' na ukikuta nimefeli masomo mawili andika 'nakusalimia' wewe na mzee wako..
Baada ya mda sms ikaingia 'nakusalimia wewe, baba yako, mama yako, familia yenu yote pamoja na majirani zenu wote'
Hapa naona mawenge, nadhani zile bhangi nilizovuta kitambo zinafanya kazi sasa..
Yeah! Anataka kuleta wivu uliopitiliza sasa.Shimba!
hahahaha
Hamna kutengana jamani!Wamasaki wameanza lini kututenga sisi wa manzese?sio fair hii
HahahahaYeah! Anataka kuleta wivu uliopitiliza sasa.
Asante my Queen watu wote wanaulizia si unaonaAliniwahi kuichomoa!
Emotional driven walahi!
Nikarusha originals!
Hatareeee!
Duh!
Mzee wa Liver aka ni save!
Huyu mwanaume kiboko[emoji2][emoji2]JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA
KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME
VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE
KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI::
Mwanaume: sister mambo
Sister: mambo kwa yesu
Mwanume: Sister samahani . . . unampenzi?
Sister: hapana sihitaji mpenzi!
Mwanaume: mwanzo 2:18 mungu akasema sio
vema mwanaume akabaki peke yake nitamfanyia
msaidizi.
Sister: Lakini Mimi sikupendi . . . .. . nampenda yesu!
Mwanaume :1yohana 4:20 MTU akisema
anampenda mungu naye humchukia ndugu yake ni
mwongo kwamaana asiyempenda ndugu yake
amwonaye atampendaje mungu asiyemwona?
Sister: Nitaaminije kwamba maneno yako uongeayo
ni kweli
Mwanaume: mathayo 12:34-36mtu mwema katka
akiba njema ya moyo wake hutoa mema na MTU
mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Ila mimi Kinywa changu huongea maneno
yaliyoujaza moyo wangu
Sister:: nitaaminije hayo uongeayo ni kweli?
Mwanaume:: Marko 13:41 mbingu na nchi zitapita
lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Sister:: mbona wako wako wanawake wengi sana
kwanini umeniambia Mimi tu??
Mwanaume:: mithali 31:29 binti za watu wengi
wamefanya mema lakini wewe umewapita wote!
Sister:: ni nini kilichokufanya unipende mimi na si
wengne nimekuvutia nini ?
Mwanaume ::wimbo bora 4:7 uu mzuri sana ndani
yako Hamna hila
Sister::: ni kweli? Mimi sio mzur wa kupendwa na
wewe !!
Mwanaume::::mithali 31:30 upendeleo hudanganya
na uzur ni ubatili Bali mwanamke amchae bwana
ndiye atakaye sifiwa
Sister ::: ni nini kitatokea nikikubali na kusema ndio!
Mwanaume ::: mwanzo 2:4 mwanaume atawaacha
wazazi baba na mama ataambatana na mkewe na
hao wawili hawatakuwa wawili tens Bali mwili
mmoja.
Sister ::imekuwaje unajua sana maandiko utafikir
mchungaji
Mwanaume :: Joshua 1:8 kitabu hiki cha torati
kisiondoke kinywani mwenu Bali yatafakali maneno
yangu mchana na usiku ndipo utakapo zifanikisha
njia zako
Sister :: yaah!! Nakuona unampenda sana mungu
Mwanaume:: zabur 34:8 onjeni mwone kuwa bwana
ni mwema heri MTU yule anayemtumainia
Sister. ::mmmh bas nipe muda nifikirie kuhusiana na
hili
Mwanaume ::: wafilip 4:8 hatimaye mambo yeyote
yaliyo kweli ya staa ya haki yenye kupendeza yenye
sifa njema na wema wowote yatafakalini hayo
Sister ::: nimekubali nakupenda nami pia
Mwanaume :: ufunuo 22:21 Amen
Mwezi wa pili nalilia Masaki angalau nami nikapaone lakini wapi. Na sasa kuna huyu Mzee haamini mtu hata sisi brother wa mkewe. Ni shida!Wamasaki wameanza lini kututenga sisi wa manzese?sio fair hii