mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante mkuu lakini Arusha next wiki iko pale paleYap, ni dogo moja chotara, ana moyo mzuri utamfurahia sana
Hahahahaha namkumbusha tuKama ni malkia wako hata kusalimiwa na watu asisalimiwe?
YupHahahahaha namkumbusha tu
Ni kweli mkuu,unajua siku hazifanani,ila tuko pamoja.Mkuu naona leo umekuwa hamidu kidogo pande hizi
Nafikiri kako chuo kanachukua md sijui anyway hiyo si kazi yangu,me nakula sahani moja na ColeMkwara hevi ha haaaaa. Ila kale katoto ka kishua kana mvuto fulani hivi hasa kakianza makwotesheni ya kimitego tego. Kanaonekana kama kasomi fulani hivi ka kiwango kiwango. Ndo maana bwana mdogo alianza kutetereka kidogo. Ni afadhali sasa umemuweka wazi hata akija kupuyanga tena mashahidi tupo!
Good one
Hakuna shida lakini ila ya kigamboni pale niliona kikombe cha kahawa hahahahawalahi tena duh!
Uwiiiii naomba nione na mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]puliziiiiiiiiWe acha tu!
Mapenzi yalizidi hekima!
Nikamrushia The ORIGINAL!
Uwiii!
Hahahaha walahi!
Wamasaki wameanza lini kututenga sisi wa manzese?sio fair hiiHalafu mi ikanipita? Real? Sikubali. Tumetoka mbali jamani !!!
Hapana nilimwabia atoe haraka sana watu humu nawajuaMimi niliifungua lakini sikuona kitu labda mzee wa liver atusaidie kwa kweli
ISIS nawe hauvumi lakini umo[emoji2][emoji2]Shimba
Vidogo vinasumbu akili!
Lazima mtu ampate mdada ambaye yuko together!
FULL package!
Michuzi ya kumwaga!
Si unaelewa!