Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
27 lionel messi La pulga
Hahahahaha shimba yaMwezi wa pili nalilia Masaki angalau nami nikapaone lakini wapi. Na sasa kuna huyu Mzee haamini mtu hata sisi brother wa mkewe. Ni shida!
Usijali usichukulie ninachosema serious natania tuHapana sio kweli lakini alituma photo original sikupenda nilimwambia atoe
Kama wakulaumiwa ni Mimi
Lakini nilikuwa nalinda privacy ya my Queen
Yap coleMzee wa liver
That's obvious katika uzi huu. I always assume kuwa kila kitu ni jokes only. That's my point of departure!Mkuu hahaha siwezi kuwa hivyo hata Mara just jokes only
Amna ilikuwa ni jambo flani la haraka sanaKK angekuwepo angeiona daah sijui nimechelewa wapi mie
Hata mimi nilionaAmna ilikuwa ni jambo flani la haraka sana
Hata wewe Carba hukuiona? Lazima kuna mtu aliyeiona mbali na Mzee wa Masaki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23]KK angekuwepo angeiona daah sijui nimechelewa wapi mie
I seeMzee wa ini mkuda kweli
Ngoja nikae kikao na my Queen nitakujuza nini tulichoamuaLakini sisi kwetu wanafamilia ni ubaguzi au unaonaje mzee wa liver
Yaani acha kabisa,nimekuta view attachment nafungua tu holaaa[emoji47][emoji47]Hata wewe Carba hukuiona? Lazima kuna mtu aliyeiona mbali na Mzee wa Masaki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23]
Na hizi purukushani za ku like mpaka nilivyo kuwa narudi nikakuta mzigo umeshaondolewa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mtushilikishe na sisi,sisi ni familia mnajua[emoji23][emoji23]Ngoja nikae kikao na my Queen nitakujuza nini tulichoamua
Naelewa mzee wa liver lazima Uwe protective kwa Mali yakoHapana sio kweli lakini alituma photo original sikupenda nilimwambia atoe
Kama wakulaumiwa ni Mimi
Lakini nilikuwa nalinda privacy ya my Queen
Aliyempoteza Ho Chi Minh ni Mzee wa Masaki au Uniq? Au wote wawili walishirikiana?Usijali usichukulie ninachosema serious natania tu
Ila we ni mtu safi ingekua mwengine angemuacha tu
Nimependa hiyo...ila
#bringbackourhochiminh#hii sijasahau[emoji1][emoji1][emoji1]