The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kawaida mtu akianza kulia atakumbukia matukio mengine yaliyomsikitisha au kumchukiza ili kuongeza ubongo wake hamu ya kulia.
Busara sana shemeji hata Mzee wa Tukuyu haoni ndani. Safi sana shemeji!Sidhani kama kuna mtu amekwazika humu mengi yanayoongelewa humu ni utani na wote tuliocomment kuhusu hiyo ishu tulikua tunasemea kwa utani
Privacy ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa
Usijali kuhusu hilo kuwa na amani tu...mapenzi yenu yadumu
Walahi!Shimba ushilawadu hawezi acha
Kwa kweliJumatatu ya kumalizia mwezi
Asante shemeji[emoji4][emoji4]Busara sana shemeji hata Mzee wa Tukuyu haoni ndani. Safi sana shemeji!
IndeedMimi na Goddess hatujafahamiana leo wala jana. Tuna mipango mingi ya kibiashara na siyo watu wa kuanikana mtandaoni.