Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-30-21-19-47.png
 
Wadau I'm real sorry kama nitakuwa nimewakwaza mnisamehe kabisa
Real My Queen ISIS alipost real photo kwa ajili yangu lakini kwa sababu za privacy nilimwambia aitoe haraka so
Lawama zote zije juu yangu sio kwake
Nawapenda sana wanalikes
Sidhani kama kuna mtu amekwazika humu mengi yanayoongelewa humu ni utani na wote tuliocomment kuhusu hiyo ishu tulikua tunasemea kwa utani
Privacy ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa
Usijali kuhusu hilo kuwa na amani tu...mapenzi yenu yadumu
 
Back
Top Bottom