ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
DuhSwali siyo haangalii mpira. Swali ni anaangalia mpira na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi kweli kweli
DuhSwali siyo haangalii mpira. Swali ni anaangalia mpira na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani sijui wamemfanya nini mchina wa watuDuh! Wamemfanya Msukule Mchina wa watu?
Nitakupa picha yake kama utakuwa mwanimifuNever say never. Purukushani za likes zikizidi you never know, au unapokuwa na windows nyingi kwenye kompyuta. Pole ila angalau ningekuona tu jamani dah!
Muitaliano huyo wa Ac Milan
YupThe heart is not where it lives BUT where it loves
Hanebaja. Nyegere. Mnyama mwenye wivu kuliko wote! Version yake imeonekana Masaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Mola wangu
Hahahaha
Amna love hata siangalii my loveWe huangalii mpira?
So real!Thanks bro but our love btn me and ISIS is real