Unga limited
Ahsante kwa taarifa. Nataka niombe ruhusa nijifanye naumwa. Halafu nikae sehemu ni like weee hadi vidole vife ganzi. Najua kesho nitapata Ed.
Jamaa ni noma sijui haliwaza nini jembekilopamoja Founder wa Hii thread..Asante na kula likes [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Nitamtafuta Bashite anisaidie kuandamana aseeHivi huu uzi hautafungiwa kweli jamani.
Usihofu.....punde zitafika 40000
Mpe like likeNipo kwenye daladala hapa namuona mshikaj amekaa siti ya mbele yangu naye yupo kwenye huu uzi,naona anatabasamu tu na kutoa likes,cjui nimshtue [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nalimwagia maji mimi
Kwa mrombooUnga limited
Umekosewa nini tena?Nitamtafuta Bashite anisaidie kuandamana asee
Ha ha ha ha haNitamtafuta Bashite anisaidie kuandamana asee
The goddess ISIS ke huyo hatari sanaDah Mitandao hii. Me kila nikikuona humu najua ni me. ID yako ni matata kwelikweli