Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-30-21-50-41.png
 
Kusema kweli itabidi niseme tu. Nina mashemeji matapeli. Moudgulf naye juzi juzi hapa alizusha eti kanipa ng'ombe. Nilipomkaba hakuwa na jibu la maana. Leo Mzee wa Tukuyu naye anaibuka eti kanipa ng'ombe wengine 15. Kanipea wapi hao ng'ombe wakati nina karibu mwaka hata kuonana naye hakuna? Hii kazi kweli kweli aisee!
Niliokuomba unikopeshe baki nao huko huko kama mahari,nitakuwa nakulipa kidogo kidogo kama sheria ya deni inavyo tafsiriwa...
 
Back
Top Bottom